- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
NEWS: ALIYEKUWA WAZIRI WA IRAQ AELEKEA KUPATA USHINDI UCHAGUZI MKUU
Matokeo ya awali yaliyotangazwa na Tume ya Uchaguzi nchini Iraq yanaonesha kuwa, aliyekuwa Waziri Mkuu chini humo Bw. Nouri al-Maliki anatarajiwa kupata ushindi miongoni mwa vyama vya Kishia.
Matokeo ya awali katika mwelekeo huu yalitanazwa Jumatatu usiku, na huenda akapata viti vingi kwani matokeo ya uchaguzi bado yanaendelea kutangazwa.
Kwa sasa, kwa kuzingatia matokeo haya ya kwanza, Mhubiri wa Ushia mwenye ushawishi mkubwa anaonekana tena kutokuwa na mshindani, wakati hapo katika mwaka wa 2018 alikaribiana kura na kambi zingine.
"Watu lazima washerehekee ushindi huu wa kambi kubwa zaidi (...) bila kusababisha uharifu", Bwana Sadr amesema kwenye hotuba iliyorushwa kwenye runinga nchini Iraq.
Wakati wa jioni, Uwanja wa Tahrir katikati mwa Baghdad, wafuasi wa chama hiki walikusanyika wakibebelea bendera za nchi ya iraq, bendera za chama chao pamoja na picha za kiongozi wao.
Kulingana na afisa wa wa chama cha Muqtada al-Sadr, aliyehojiwa na shirika la habari la AFP, chama hiki kinaweza kupata "takriban viti 73", kati ya jumla ya viti 329.
Afisa wa tume ya uchaguzi, ambaye aliomba jina lake lisitajwe, alikuwa amethibitisha kwa AFP kwamba sasa chama cha kiongozi wa Kishia Muqtada al-Sadr "kinaongoza", kulingana na matokeo ya awali.