Home | Terms & Conditions | Help

May 18, 2024, 8:30 pm

BURUDANI: LULU AAHIDI KUIENDELEZA SAVE MY VALENTINE

Muigizaji maarufu wa Bongo move Elizabeth Michael maarufu kama lulu amesema kampeni aliyoianzisha ya ‘Save My Valentine’ ameipanga kuwa endelevu"itakuwa endelevu kwa kufanyika katika sikukuu mbalimbali ili watu wenye uhitaji wapate msaada wake" amesema LulLulu


Lulu Amewashukuru mashabiki na wote waliomuunga mkono katika Juhidi zake za kampeni hiyo.