Home | Terms & Conditions | Help

May 19, 2024, 2:01 am

BURUDANI: BEYONCE AIMBA KISWAHILI KWENYE NYIMBO YAKE (SPIRIT)

Dar es Salaam: Mwanamuziki wa R & B Kutoka kwenye ardhi ya Trump(Marekani), Beyonce Knowles ametusapraizi waafrika wengi hasa nchini Tanzania baada ya kuimba lugha ya Kiswahili kwenye wimbo Wake mpya ulioachiwa jana mchana.

Image result for beyonce spirit

Wimbo huo unaitwa ‘Spirit’ umetengenezwa na na mwanamuziki huyo anasikika akimtaka, ‘uishi kwa muda mrefu Mfalme’, huku sauti nzito ikiitikia ‘uishi kwa’.

Intro]
Uishi kwa muda mrefu mfalme
(Uishi kwa uishi kwa)
Uishi kwa muda mrefu mfalme
(Uishi kwa, uishi kwa)

Wimbo wa Spirit umetumika katika filamu mpya ya Lion King inayotengenezwa na kampuni ya Disney ya nchini Marekani. Mfalme anayeimbwa kwenye wimbo huo ni simba dume kijana anayeanza safari ya kupambana ili kuwa mfalme wa mbuga.

Disney wamesema albamu hiyo iitwayo ‘Spirit’ itatolewa siku tisa sijazo kuanzia leo.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na kampuni ya Disney ikimnukuu Beyonce imesema albamu hiyo imejumuisha vionjo vya waandaa muziki kutoka Afrika.

"Ni mchanganyiko wa kila kitu, si sauti moja tu. Kuna ushawishi kutoka kila kona, kutoka kwenye R&B, hip-hop na Afro Beat,” “Lengo langu halikuwa uimbwe na wasanii maarufu, bali utayarishwe na watayarishaji wa Afrika,” amesema Beyonce

hili ndo shairi lote

[Intro]
Uishi kwa muda mrefu mfalme
(Uishi kwa uishi kwa)
Uishi kwa muda mrefu mfalme
(Uishi kwa, uishi kwa)



[Verse 1]
Yeah, yeah, and the wind is talkin'
Yeah, yeah, for the very first time
With a melody that pulls you towards it
Paintin' pictures of paradise



[Pre-Chorus]
Sayin' rise up
To the light in the sky, yeah
Watch the light lift your heart up

Burn your flame through the night, woah



[Chorus]
Spirit, watch the heavens open
Yeah
Spirit, can you hear it callin'? (Callin')
Yeah



[Verse 2]
Yeah, yeah, and the water's crashin'
Trying to keep your head up high
While you're trembling, that's when the magic happens
And the stars gather by, by your side

[Pre-Chorus]
Sayin' rise up
To the light in the sky, yeah
Let the light lift your heart up

Burn your flame through the night, yeah



[Chorus]
Spirit, watch the heavens open
Yeah
Spirit, can you hear it callin'? (Callin')
Yeah



[Post-Chorus]
Your destiny is comin' close
Stand up and fight



[Bridge]
So go into that far off land
And be one with the Great I Am, I Am
A boy becomes a man, woah



[Chorus]
Spirit, watch the heavens open
Yeah
Spirit, can you hear it callin'? (Callin')
Yeah
Spirit, yeah, watch the heavens open, open
Yeah
Spirit, spirit, can you hear it callin'? (Callin')
Yeah

[Post-Chorus]
Your destiny is comin' close
Stand up and fight

[Outro]
So go into a far off land
And be one with the Great I Am