Home | Terms & Conditions | Help

November 24, 2024, 2:00 am

RAIS MAGUFULI: NAFIKIRIA KUFUNGUA VYUO WIKI IJAYO(+VIDEO)

Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli amesema anampago wa kufuta amri ya wanafunzi wa Vyuo kusalia majumbani na kuwaruhusu kurudi vyuoni kama hali ya utulivu nchini itaendelea kuwa nzuri

Rais Magufuli ametoa kauli hiyo leo Mei 17, 2020 wakati wa Ibada ya Jumapili katika kanisa la Chato mkoani Geita

"Kwa hali hii, kama wiki tunayoianza kesho itaendelea hivi nimepanga kufungua vyuo nchini, ili Wanafunzi wetu waendelee kusoma" amesema Magufuli.

Aidha Rais Magufuli pia amepanga kuruhusu michezo iendelee kwasababu michezo ni sehemu ya Burudani, amesema maisha lazima yaendelee.

Tazama hutuba yake hapa.