- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
NEWS: VIONGOZI WA CCM MBARONI KWA RUSHWA
Taasisi ya kuzuia na kupambana na Rushwa (TAKUKURU) leo Machi 25, 2019 imewafikisha mahakamani Viongozi watatu wa CCM ilala kwa tuhuma za kupokea Rushwa ya shilingi Milioni 5.
Waliwawekea mtego wa hela za moto wakapokea kisha wakadakwa na Taasisi hiyo.
wamefikishwa mahakamani kwa kosa la kuomba na kupokea rushwa. Viongozi hao Waliokamatwa ni Jenifa Mushi Katibu wa CCM tawi la Amana, Devota Batulaki katibu kata CCM Ilala, Frank Joseph Mang'ati katibu hamasa CCM mkoa wa Dar.
Waliomba milioni 5 na wakapewa na kupokea Mil tatu za moto kutoka kwa mtu aliyetaka kupanga katika moja ya kiwanja kinachomilikiwa na chama chama mapinduzi Amana Ilala.
Hizi hela za moto Milioni tatu alizowapa, alipewa na takukuru awapelekee