Home | Terms & Conditions | Help

November 24, 2024, 1:39 am

NEWS: RC ANNA NGHWIRA ARUDI KAZINI BAADA YA KUPONA CORONA

Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Dkt. Anna Mghwira ameanza kazi rasmi leo May 16, 2020 ikiwa ni siku mbili tu baada ya kujitangaza kuwa hana tena maambukizi ya Virusi vya Corona.

Dkt. Mgwira alitangaza kuambukizwa virus hivyo April 23 mwaka huu na alikaa nje ya Ofisi yake kwa takribani siku 20.