November 27, 2024, 3:35 pm
- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
UTAFITI: UCHAFUZI WASABABISHA VIFO VYA WATU MILIONI 9
Utafiti uliochapishwa katika jarida la Lancet umechanganua taarifa za dunia kuhusiana na magonjwa yaliyosababishwa na uchafu wa mazingira kama vile magonjwa ya moyo na magonjwa ya kupooza.
utafiti wa kimataifa uliofanywa unakadiria uchafu ndio chanzo cha vifo vya watu milion tisa duniani kote katika kipindi cha mwaka 2015.
Vifo hivyo vya mapema vinaelezwa kuweka asilimia 16 ya vifo duniani kote.
Uchafuzi wa anga ndio sababu kubwa, ikifuatiwa na uchafuzi wa maji.
Utafiti huo unaonesha kuwa karibu asilimia kubwa ya vifo hivyo vinavyotokana na uchafuzi vimetokea katika nchi zenye kipato cha chini na kati.