Home | Terms & Conditions | Help

November 28, 2024, 11:26 am

SPORTS NEWS : VIJANA WA MBEYA KUNUFAIKA NA MPANGO WA GRASS ROOTS NOVEMBA 27

TFF imesema Mpango wa Grass roots kwa Vijana kuanzia miaka 6-12 utafanyika Mbeya kuanzia Novemba 27,2017 mpaka Desemba 1,2017,Ukishirikisha washiriki 30 kutoka Mikoa ya Songwe, Katavi, Rukwa na wenyeji Mbeya.

Mpango huo ambao ulianza kufanyika mkoani Lindi na sasa unaenda Mbeya, mpango huu utasaidia kuwajengea vijana kujiamini hasa wanawake,hata hivyo Walimu wa Shule za Msingi Mikoa ya Songwe, Katavi,Rukwa na Mbeya kushiriki kozi ya Grass roots.