November 28, 2024, 12:25 am
- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
SPORTS NEWS : TANZANIA YASOGEA MPAKA NAFASI YA 12 FIFA YASEMA
Tanzania imesogea katika soka la ufukweni baada ya Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA) kuitangaza ni ya 12 katika viwango vya mchezo huo katika Bara la Afrika.Kwa mujibu wa taarifa hiyo ya Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA), Tanzania inashika nafasi ya 86 duniani.
Viwango hivyo vilivyotangazwa Novemba 3, 2017, nchi ambazo ziko mbele ya Tanzania ni Senegal, Nigeria, Misri, Morocco, Madagascar, Ivory Coast, Ghana, Libya, Msumbiji, Cape Verde na Kenya