Home | Terms & Conditions | Help

November 28, 2024, 9:52 am

SPORTS NEWS : AS ROMA YAKUBALI KIPIGO DHIDI YA WAHUNI WA SPAIN,ATLETICO MADRID

FULLTIME : Atletico Madrid 2-0 As Roma

Gameiro doubled Atletico's lead with five minutes remaining by tucking home past Alisson

Katika mchezo wa kundi C,uliofanyika jana usiku wa 4:45 ambapo timu ya As roma ilipoteza mchezo wake muhimu dhidi ya Atletico madrid,hivyo kujiweka katika mazingira magumu katika mechi za mwisho katika kundi hilo

Msimamo wa kundi C

Mpaka sasa Atletico ina nafasi kwa asilimia ndogo ya kupita katika hatua ya 16 bora,endapo As Roma atafungwa tena katika mchezo wa mwisho dhidi ya vibonge Fk Qarabag,na wakati Roma ikifungwa lazima Atletico amfunge Chelsea katika mechi ya mwisho uwanja wa darajani Uingereza,hapo madrid atakuwa amepenya,au laah Atletico amfunge Chelsea 2-0 kisha As Roma atoe sare ya 0-0

Habari picha

Diego Perotti jumps to win the ball in the first half of the Champions League group stage clash

Roma manager Eusebio Di Francesco barks instructions to his players from the sidelines

Lorenzo Pellegrini is brought to his knees after the away side saw an opportunity go begging

Federico Fazio collects possession after Fernando Torres lost his balance in the penalty area

Griezmann shows his frustration after Atletico missed a good opportunity in the first half

Roma goalkeeper Alisson clears just ahead of Griezmann as Atletico went in search of a goal

Aleksandar Kolarov slides in to cross the ball ahead of the challenge from Thomas Partey

Koke (centre) protests the decision of referee Bjorn Kuipers during the second half in Madrid

Griezmann showed his class with an acrobatic opener to give Atletico a 69th-minute lead

Bruno Peres argues with Kuipers before being shown a second yellow card on Wednesday

Gameiro doubled Atletico's lead with five minutes remaining by tucking home past Alisson

Hizo zilikuwa picha za matukio katika mchezo huo uliopigwa jana uwanja wa Vicent Calderon SPAIN