- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
SPORTS: LIVERPOOL YACHEZEA KICHAPO CHA 2 - 1 TOKA KWA CITY
Club ya Liverpool imeshindwa kuonesha ubabe wake chini ya kocha wake Juan klop kwa Muhispani anayeinoa club ya Manchester City Pep Gadiola baada ya kuambulia kipingo cha mabao 2- 1 katika uwanja wa Etihad nchini Uingereza.
City ndio ilikuwa ya kwanza kupata bao la kuongozea kutoka kwa Muajentina Sargio Aguero kabla ya mapumziko na baadae kwenye dakika ya 64' Liverpool ikasawazisha kupitia mchezaji wake Firmino.
City walionekana kutawala mpira sana vipindi vyote viwili huku ikicheza kwa kasi tufauti na City iliyokuwa imezoeleka hapo awali na baada ya dakika ya 71' mjerumani Sane akapachika msumari wa mwisho kwenye nyavu za liverpool na kuifanya city itoke kifua mbele kwa mabao 2 -1.
Sasa tofauti kati ya liver na City ni alama 4 tu pekee katika msimamo wa ligi kuu nchini uingereza( EPL)