- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
NEWS:WAISLAM MILIONI MOJA WAKO KIZUIZINI NCHINI CHINI
Taarifa kutoka Umoja wa mataifa zinasema kuwa China imedaiwa kuwakamata Waislamu wa kabila la Uighur zaidi ya milioni moja.
UN inasema kuwa kitendo hicho kinafanyika na Xinjiang ambapo watu milioni 10 wa kabila hillo wapo.
Serikali inalaumu wapiganaji wa Kiislamu na wanaotaka kujitenga kwa ghasia katika eneo hilo.
Ripoti nyingi zinasema kuwa wafungwa wengi waliopo vizuizini wanalazimishwa kumtii Rais Xinjiang
Raia mmoja wa kabila hilo ameelezea kuwa siku moja amewahi kwenda kumtembelea ndugu yake "wanaonekana kama maroboti ambao wanaonekana kupoteza roho zao, niliwajua wengi wao vizuri kwa sababu tulikuwa tukila na kuketi pamoja lakini hawako kawaida" alisema shuhuda huyo
China inadaiwa kuwakamata watu ili kuzuia itikadi kali za kidini, wafungwa hao wanalazimishwa kuimba nyimbo za chama tawala na wanalazimishwa kujikosoa wenyewe.
mkutano mkuu wa kabila la Uighur wanasema watu wao wanateseka.
Lakini Serekali ya Beijing inakana madai ,hayo licha ya kukubali kuwa inawashikilia watu wa itikadi kali ili kuwaelimisha