- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
NEWS: ZAIDI WA WATU 30 WAMEFARIKI KWENYE AJALI MBAYA YA TRENI CONGO
LUALABA: Ajali ya Treni ya mizigo imeuwa watu azaidi ya watu 30 siku ya Jumapili 12 Novemba, katika mji wa Lualaba kusini mwa nchini Congo. Watu kadhaa waliokuwepo kwenye usafiri huo ambao miongoni mwao abiria haramu walijeruhiwa katika ajali hiyo.
Gavana wa Jimbo hilo Bw. Richard Muyeji alisema kuwa “Hii ni ajali mbaya kabisa kuwahi kutoka katika mkoa huu, Mkuu wa mkoa wa Lualaba,
Awali Bw. Muyej ameambia vyombo vya habari kwamba haijulikani ni watu wangapi waliofariki.
"Ajali hiyo ilitokea mapema Jumapili asubuhi katika kijiji kimoja kilomita 25 kutoka mji wa Lubudi, kuelekea Luena. Treni hiyo ilitupa njia na kutoakana na kuwa ilikuwa imebebea pipa za mafutaya gari, hali hiyo ilisababisha moto mkubwa, "Gavana Richard Muyej akizungumza na chombo cha habari cha Ufaransa
"Mpaka sasa kumepatikana zaidi ya miili thelathini, watu 26 waliojeruhiwa ambao walisafirishwa hospitali ya Lubudi ... Zoezi liliendelea hadi usiku. Hii ni ajali mbaya kabisa, " Richard Muyej ameongeza.
Kuhusu chanzo cha ajali hiyo, Bw Muyej anatarajia kutoa maelezo zaidi Jumatatu hii.