Home | Terms & Conditions | Help

November 28, 2024, 6:40 pm

NEWS: WALIOVUNJIWA VIBANDA KWENYE HIFADHI YA RELI DODOMA WAPATIWA ENEO NA MANISPAA

DODOMA: Halmashauri ya Manispaaya Dodoma inatarajiakuwapatiaeneowafanyabiasharazaidiya 550 waliovunjiwavibandavyaonakampunihodhiya RasilimalizaReli (RAHCO)katikastendiyamabasimadogoyaJamatiniilikupishautekelezajiwamradiwaReliyakisasa,iliwaendeleekufanyabiasharazaokamakawaida.

MkurugenziwaHalmashauriyaManispaaya Dodoma Godwin Kunambiamewaelezawafanyabiasharahaokuwa, Manispaaikokatikahatuazamwishokuandaaeneo la Makole D-Center kwakuwekamiundombinumuhimuikiwemomfumowamajisafinamaji takailiwafanyabiasharahaowaanzekufanyashughulizaomaramojanakatikamazingirarafikinasalamakatikaeneohilo.

Aliyasemahayoalipotembeleaeneo la JamatininaStendiKuuNovemba 6mwakahuu, akiambatananaNaibuWaziriOfisiyaWaziriMkuu, KaziVijananaAjira Anthony MavundeambayeniMbungewaJimbo la Dodoma, pamojanaNaibuMeyawaHalmashauriyaManispaahiyoJumanneNgedekwalengo la kuwapa pole wafanyabiasharahaonakuwajulishahatuazilizochukuliwanaViongozimbalimbalikatikakuhakikishatatizolinalowakabililinapatiwaufumbuzikwawakati.

Aliwatoahofuyakuwaeneohilohalitakuwanawatejawengikamailivyokuwaeneo la stendiyaJamatini, ambapoaliwaambiatayariMkuuwaMkoawa Dodoma DaktariBinilithMahengeametoamaelekezokwaManispaana Sumatra kuhakikishadaladalazinakuwanarutiinayopitakatikaeneohilojipya la biasharaambapoabiriawatakuwanakituo cha kupandanakushukanahivyokuongezamzungukowawatejakatikaeneohilo, nakwambautekelezajiwamaelekezohayoumeshaanzakufanyiwakazina Sumatra.

AkizungumzanawafanyabiasharayausafiriwamabasikatikaStendiKuuyamabasiyamikoani, MkurugenziKunambialiwaambiakuwa, ManispaakwakushauriananauongoziwaMkoanawadaukama Sumatra