November 28, 2024, 9:32 pm
- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
NEWS: WALIMU WALIODAIWA KUMUUWA MWANAFUNZI WATIWA MBARONI
BUKOBA: Walimu wawili wa Shule ya Msingi Kibeta Manispaa ya Bukoba wamefikishwa Mahakamani leo asubuhi Septemba 3, 2018 wakikabiliwea na kesi ya mauaji ya Mwanafunzi Sperius Eradius (13) wa darasa la 5.
Walimu hao waliofikishwa mahakama ya wilaya ya Bukoba kusomewa mashtaka yanayowakabili ni Mwalimu Respicious aliyetoa adhabu ya vibobo na Mwalimu aliyedai kupotelewa na mkoba Elieth Gerald.
Kesi hiyo imeahirishwa hadi Septemba 17, 2018 na watuhumiwa wote wamerudishwa rumande.
Newest Posts