- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
NEWS: VIJANA WATAKIWA KUJIAJIRI.
DODOMA: Naibu waziri ofisi ya waziri mkuu sera vijana naajira Anantony Mavunde ameziagiza halmashauri zote nchini kuhakikisha zinatenga maeneo kwa ajili ya kilimo yatakayo wasaidia vijana wasomi wanaohitimu vyuo vikuu ili waweze kujiajili kupitia sekta yakilimo.
Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dodoma Mavunde amesema mpaka sasa serikali imekwishatenga jumlahekta laki mbili na elfu kumi na saba (217,000) kwaajili ya shuguli za vijanahuku akiwataka vijana wasomi nchini wanaosubiri ajira serikali kubadili fikra na kujiunga na kilimo iliwaweze kujikwamua kimaisha.
Mbali na hayo Waziri huyo amesema waajiri wengi wamekuwa wakilalamika kuwa vijana nwanaohitimu ngazi mbalimbali za elimu hawanaujuzi wa kufanyakazi na kuwataka vijana wote wanaohitimu waendane na soko la ajira la sasa.