November 28, 2024, 7:30 am
- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
NEWS: TSVANGIRAI AMTAKA RAIS MUGABE KUJIUZULU MARA MOJA
HARARE: Kiongozi wa upinzani Zimbabwe Morgan Tsvangirai amesema Rais Robert Mugabe anafaa kujiuzulu mara moja na kupisha serikali ya mpito ambayo itafanikisha kuandaliwa kwa uchaguzi huru na wa kidemokrasia.Tsvangirai amesema hayo akihutubia wanahabari mjini Harare mchini wa leo 16.11.2017
Rais wa Guinea Alpha Conde ambaye kwa sasa ndiye mkuu wa Umoja wa Afrika (AU) amekariri msimamo wa muungano huo na kusema hautakubali "mapinduzi ya kijeshi" Zimbabwe, shirika la habari la AFP limemnukuu akisema.Tunataka katiba iheshimiwe na mfumo wa utawala wa kikatiba urejeshwe. Hatutakubali mapinduzi ya kijeshi.
''Tunataka katiba iheshimiwe na mfumo wa utawala wa kikatiba urejeshwe. Hatutakubali mapinduzi ya kijeshi.Tunafahamu kwmaba kuna matatizo ya ndani. Haya yanafaa kutatuliwa kisiasa ndani ya chama cha Zanu-PF na si kwa uingiliaji wa jeshi." aliongea