November 27, 2024, 3:40 pm
- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
NEWS : TAARIFA TATU ZENYE UZITO ASUBUHI HII
Uhali gani,popote pale ulipo ! Karibu kwenye taarifa tatu zenye uzito asubuhii hii
Ambapo kutoka Nchini Kenya tunaambiwa kuwa,Mahakama yaagiza Kanisa la Anglikana kutekeleza amri ya kuwalipa wachungaji watatu waliotuhumiwa kwa ushoga fidia ya Kenyash. mil 6.8,tukisalia tena Nchini kenya.KENYA: Wabunge 6 wa upinzani kutoka Mkoa wa Pwani na Gavana wa Kilifi wamesema wataanzisha harakati za mkoa huo kujitenga ikiwa uchaguzi utafanyika 26 Oktoba.
- Wameongezea kujitenga kwa Mkoa huo uliokuwa chini ya utawala wa Sultan wa Zanzibar kutawanufaisha wakazi wake waliotengwa tangia uhuru wa Kenya
Tunabaki Nchini tunafahamishwa kuwa ,Watu wawili wanashikiliwa na Polisi Pwani, wanatuhumiwa kusafirisha wahamiaji haramu 21 raia wa Ethiopia kwenda Afrika Kusini.