November 27, 2024, 11:39 am
- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
NEWS: RAIS WA BENKI YA DUNIA AJIUZULU WADHIFA WAKE
Rais wa Benki ya Dunia, Bw. Jim Yong Kim ametangaza kuwa, atajizulu wadhifa huo mwezi ujao, miaka mitatu kabla ya muda wake kumalizika.
Chini ya uongozi wake, Kim alikuwa amejiwekea malengo ya Benki hiyo kumaliza umasikini kufikia mwaka 2030.
Katika taarifa yake, Jim Yong Kim, ambaye amekuwa akiongoza Benki ya Dunia kwa miaka sita, amesema tu kwamba atajiunga na "kampuni ya uwekezaji" na kuzingatia "uwekezaji wa miundombinu katika nchi zinazoendelea."
Hatua hii inatarajiwa kumpa Rais wa Marekani Donald Trump, fursa ya kushawishi kiongozi mpya wa Benki inayolenga kumaliza umasikini duniani.