November 27, 2024, 1:25 pm
- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
NEWS: RAIS MAGUFULI MJULIA HALI NA KUMUOMBEA DUA MAMA YAKE MZAZI
Dar es salaam: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo Desemba 30, 2018 amemjulia hali na kumuombea Mama yake Mzazi Bibi. Suzana Magufuli anayepatiwa Matibabu katika Hospitali ya Muhimbili Jijini Dar es Salaam,
Bibi Suzana Magufuli anasumbuliwa na ugonjwa wa Kiharusi ambapo amekuwa akipatiwa matibabu kwa takribani miezi mitatu sasa.