- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
NEWS : NEEMA YAMWANGUKIA BARRACK OBAMA NA MKEWE MICHELLE WASAINI DILI NA NETFLIX
Rais wa zamani wa Marekani, Barack Obama na mkewe Michelle Obama wamesaini dili nono na kampuni ya Netflix inayojihusisha na masuala ya burudani kwa kurusha vipindi vya TV, Series, filamu na Documentary mitandaoni.
Obama na mkewe kwenye dili hilo wamesaini kama Mameneja wazalishaji ambapo kazi yao kubwa itakuwa ni kusimamia na kuhariri scripts za Filamu, tamthiliya na Documentary kabla ya kuruka. Hii ni kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na NETFLIX
President Barack Obama and Michelle Obama have entered into a multi-year agreement to produce films and series for Netflix, potentially including scripted series, unscripted series, docu-series, documentaries, and features.Hata hivyo, Obama naye baada ya kutangazwa kwa dili amesema kuwa furaha yake ni kuona anaitumikia jamii na kukutana na watu wa kila aina ili kujionea utofauti.
“One of the simple joys of our time in public service was getting to meet so many fascinating people from all walks of life, and to help them share their experiences with a wider audience. That’s why Michelle and I are so excited to partner with Netflix — we hope to cultivate and curate the talented, inspiring, creative voices who are able to promote greater empathy and understanding between peoples, and help them share their stories with the entire world.”
Kampuni ya Netflix mwaka 2014 ilitangaza rasmi kuingia barani Afrika lakini hata hivyo haijapata umaarufu zaidi ukilinganisha na mabara mengine.