November 28, 2024, 7:48 am
- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
NEWS: MKURUGEZI WA BANK TIB NA WAKILI RINGO WABURUZWA MAHAKAMANI
Dar es salaam: Mkurugenzi Mtendaji wa zamani wa Benki ya Rasilimali Tanzania (TIB), Peter Noni na Wakili maarufu wa kujitegemea, Dr. Ringo Tenga, wamefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi.
Washitakiwa hao wamesomewa mashitaka yao sita leo juma tatu ya Tarehe 20.11.2017 moja ya mashitaka hayo ni pamoja na la utakatishaji wa fedha.