November 28, 2024, 8:42 am
- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
NEWS: MAGARI YA MWENDOKASI YAANZA KUPIMWA UZITO
Dar es Salaam: leo October 8 Mabasi yaendayo haraka maarufu kama Mwendokasi yameanza utaratibu wa kupimwa uzito katika kila gari litalokuwa barabarani kwa siku hiyo.
Zoezi hili linafanyika katika kituo cha Jangwani, jambo ambalo limesababisha foleni na rapisha rapsha kwa watumiaji wa usafiri huo.
Basi moja linatumia wastani wa dakika mbili mpaka nne kulingana na idadi ya tairi. Tairi za mbele zinapanda kwenye mzani na kufuatiwa na tairi za kati na nyuma.mm
Hii ni mara ya kwanza kwa mabasi yanayofanya kazi ya kubeba abiria katikati ya jiji la Dar es Salaam kupimwa uzito.