Home | Terms & Conditions | Help

November 30, 2024, 4:57 am

NEWS: KITUO CHA HAKI ZA BINAADAM CHAPATA MKURUGEZI MPYA

Dar es salaam: Taasisi ya kisheria na haki za binaadamu (LHRC) imemtangaza Anna Henga kama mkurugenzi mpya wa Taasisi hiyo akipokea kijiti kutoka kwa mkurugenzi wake wa muda mrefu, Dr. Helen Kijo-Bisimba, uteuzi ambao unaotarajiwa kuanza July 1.

Uteuzi wa Bi. Henga ni matokeo ya mchakato wa ndani wa muda mrefu uliotekelezwa na bodi ya wakurugenzi ya kituo hicho kutoka mwanzoni mwa mwaka 2017.

Kabla ya uteuzi wake, Anna Henga alikua Mkurugenzi wa Utetezi na Maboresho wa LHRC

Anna alijiunga na LHRC mwaka 2006 kama mwanafunzi kwa vitendo na baadae akahudumu kama afisa wa kisheria wa kujitolea kwenye kituoa Cha LHRC Clinic ya Arusha,