- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
NEWS: KIMBUNGA CHATEKETEZA ZAIDI YA WATU 15 NCHINI SOMALIA
Watu wasiopungua15 wamepoteza maisha Katika nchini Iliyojitenga kutoka somalia, Somaliland kutokana na mvua zenye upepo mkali kufuatia kimbunga Sagar, ambacho kilipiga Pembe ya Afrika mwishoni mwa wiki hii iliyopita.
Somaliland ambalo kimsingi ni eneo la kaskazini mwa Afrika Mashariki na kwenye Ghuba ya Aden, lilijitenga kutoka Somalia mwaka 1991.
Katika Puntland, eneo linalojitawala kaskazini-mashariki mwa Somalia, mafuriko yaliyosababishwa na dhoruba iliyochanganyika na mvua viliuawa watu na mali zao hasa magari kwenye bonde la Bosaso, Yusuf Mohamed Waeys, gavana wa mko wa Bari, Puntland, aliliambia shiorika la habari la Reuters siku ya Jumapili.
Mvua zinazoendelea kunyesha Afrika Mashariki zimesababisha maafa makubwa hasara kubwa kwa mali na mashamba.