November 27, 2024, 5:40 pm
- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
NEWS: JAJI MKUU AONYA MISUGUANO YA VIONGOZI WA UMMA
Dodoma: Jaji Mkuu Mstaafu Othman Chande amesema mgongano wa kimaslahi katika utumishi wa umma, unaweza kuwa chanzo cha taswira mbaya kwa nchi.
Jaji Mstaafu Chande ametoa kauli hiyo leo Dec 6, 2018 jijini Dodoma katika mjadala uliolenga kukabiliana na mgongano wa maslahi na haki za kibinadamu.
Katika kuelekea siku ya maadili na haki za binadamu, jijini Dodoma wajumbe kutoka taasisi na mashirika ya umma wameshiriki majadiliano katika mada tatu zilizowasilishwa ikiwemo ya changamoto ya mgongano wa maslahi katika utumishi wa umma.