- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
NEWS: HUYU NDIYE ASKARI MWANAMKE ALIYEZUIA MAUWAJI YA WHATSAPP
INDIA: Polisi waliamua kufanya uchunguzi kwenye simu za wanavijiji waligundua kuwa kati ya video na picha 30 na 35 ambayo iliwakuwa ikisambazwa na kumuonesha mtoto akiwa ametekwa,kwa uhalisia, hiyo ilikuwa ni kutoka katika moja ya filamu kutoka nchini Pakstani ambayo iliondolewa baadhi ya maudhui yake na kisha kufuatiwa na sauti.
Jambo lisilo la kawaida latokea muda wa magharibi kwa wanavijiji zaidI ya 400 katika mji wa Telangana uliopo kusini mwa India
Wanaume na wanawake walirejea majumbani mwao mapema kuliko kawaida kutoka mashambani,wakifunga milango,wakizima taa na kusalia ndani licha ya watoto kuwa na kawaida ya kucheza nje kwa muda mrefu, tulikuwa wa kwanza kurudi,mitaa yote ilikuwa kimya na hofu ikiendelea kutanda.
Hii ilikuwa si tabia ya kawaida kwa majira ya kiangazi kwa wanavijiji wengi kulala nje ya nyumba zao kwenye vitanda vya Kamba vilivyokuwa uani.
Mwezi Machi askari wa kijijini ambapo kulikuwa na askari zaidi 4,000 waliokuwa waliokuwa wakifanya uchunguzi juu ya tabia hii mpya isiyokuwa ya kawaida kwa wanavijiji hao.
Wakati akirejea katika wilaya ya Gadwal, Mkuu wa police wa wilaya Rema Rajeshwari,alimsikiliza afisa wa police mwenye cheo cha konstebo bila ya kumuelewa.
Katika kichwa cha habari kwenye WhatsApp yenye taarifa isiyo ya kweli.
"Walisema maisha ya vijijini yalikuwa ya mashaka baada ya magharibi,wakisema hawajawahi kuona kitu kisichokuwa cha kawaida kwao hapo kabla," Bi Rajeshwari aliniambia.
Siku chache baadaye polisi walijaribu kufanya uchunguzi wa nini kilichotokea, lakini walichogundua ni mwanga wa nyota tu,baada ya wanavijiji kuona video na sauti iliyorekodiwa ikisambazwa katika mtandao wa WhatsApp na kuzusha taharuki kwao.
Kulikuwa na hofu kubwa baada ya video na sauti hiyo iliyorekodiwa kwa lugha ya wenyeji ya Telugu ikimuonesha mtu akitoa viungo vya ndani vya binadamu, na sauti ya mwanaume mmoja ikisema kuwa ni kundi la wahalifu wa mtaani kwa miongo kadhaa ambao wamekuwa wakifanya uhalifu kwa kutoa viungo vya ndani vya bianadamu.
Polisi waliamua kufanya uchunguzi kwenye simu za wanavijiji waligundua kuwa kati ya video na picha 30 na 35 ambayo iliwakuwa ikisambazwa na kumuonesha mtoto akiwa ametekwa,kwa uhalisia, hiyo ilikuwa ni kutoka katika moja ya filamu kutoka nchini Pakstani ambayo iliondolewa baadhi ya maudhui yake na kisha kufuatiwa na sauti.
."Kutekwa kwa mtoto kumetokea katika kijiji chetu huku ujumbe ukitaadharisha watu kusalia ndani na kuzuia watoto wao kutoka nje, pia watu katika video hiyo ikionesha wakirusha mawe."
Vjiji vya Jogulamba Gadwal na Wanaparthy ni sehemu ya mji ambao ni miongoni mwa miji 20 isiyo na tija nchini India ambapo hazizalishi mchele wala pamba, kwa sababu watu wengi hawamiliki ardhi na wamekuwa wakihama na kuelekea katika miji mingine kutafuta kazi.
Wakazi wake wanajua kusoma na kuandiaka lakini katika kila kaya humiliki simu za kisasa japokuwa ni zile ambazo tayari zimetumika kutoka nchini China zinazoghaarimu kiasi cha rupia 2,000 sawa na dola za Marekani 27,wengi wao wakiwa na uwezo wa kuperuzi mitandao ya kijamii na kuwafanya kujua kila kinachoendelea ulimwenguni kuhusi technolijia.
Ni vipi Video za WhatsApp zinahamasha mauaji India.
Uelewa wa matumizi ya mtandao ni mdogo sana na badala yake wanavijiji wengi wamekuwa wakifuatilia zaidi video zinazosambazwa katika WhatsApp na kufuatilia taarifa zake ,kila kijini kina dazeni za makundi ya mtandao wa WhatsApp yakihusisha taarifa za jamii zao,nchini India zaidi ya watu milioni 200 hutuma ujumbe wa WhatsApp bilioni 13 kila siku.
Mwezi machi mwaka huu mmoja wa afisa wa polisi alipewa kazi ya kufuatilia nyumba kwa nyumba kuhusu kusambazwa kwa taarifa zisizo za kweli katika mtandoa wa WhatsApp na kuwahoji watu kuhusu video na sauti zinazosambaswa ambazo hazina ukweli.
Kwa miezi kadhaa Bi Rajeshwari alikuwa halali kwa ajili ya kufuatilia ujumbe katika simu za wanavijiji zinasamzwa kwa mawasiliano kwenye mitandoa ya kijamii ikiwemo ShareChat ambao umeonekana ukisambaa kwa kasi zaidina kuonesha watoto zaidi ya 54,000 japo baada ya uchunguzi wa pilisi haikugundukia kuwepo kwa matukio hayo ya kutekwa kwa watoto.
Lakini simu zimekwa zikiendela kuita na watu wakifanya mawasiliano ya kawaida lakini katika mitando ikionyesha watu wakirusha mawe katika milango ya watu.
Bi Rajeshwari aliamua kuafanya uchunguzi wake binafsi ,"Nilichogundua ni kuwa mlevi mmoja mwanaume alipiga kelele katika video akiomba msaada wa polisi kuwa kuna mtoto ametekwa baada ya kuangalia video.