November 28, 2024, 12:38 am
- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
NEWS: HATMA YA RAIS KENYATTA KUJULIKANA KESHO KUTWA
Nairobi: Rais Uhuru Kenyatt anakabiliwa na muda wa siku mbili kabla ya kujua kama ataongoza kwa muhula wa pili ama atasubiri uamuzi mwingine wa Mahakama Kuu kuhusu uhakika wa ushindi wake.
Hapo jana Muungano wa upinzani NASA umezindua kampeni ya kususia bidhaa kutoka kampuni ambazo wanasema zilishirikiana na rais Uhuru Kenyatta kuiba kura.
Kampuni ambazo NASA inataka wafuasi wake na wakemya wanaopenda haki kusuisa huduma zake ni pamoja na kampuni ya Safaricom, Maziwa ya Brookside ambayo rais Uhuru Kenyatta anamiliki lakini pia bidhaa za kampuni ya Bidco.