Home | Terms & Conditions | Help

November 29, 2024, 3:43 am

NEWS: HALI YA KIAFYA KWASASA YA WAZIRI KIGANGWALLA

Hali ya kiafya ya Waziri wa Maliasili na Utalii,Hamisi Kigangwalla inazidi kuimarika na saaa ameanza kunyanyuka kitandani na kuanza mazoezi ya kusimama huku majiribio ya kupumua yakienda vyema kufuatia majeraha aliyoyapata katika ajali ya gari mapema mwezi huu.

Alfajiri ya ya August 4, 2018 Waziri huyo alipata ajali ya gari akitokea Arusha kabla ya kufika katika eneo la Magugu na baadae kumchukua kwa Helicopter kumuhamishia katika hospitali ya Muhimbili Jijini Dar es salam katika ajali hiyo alifariki mwandishi wa habari wa Waziri huyo.