Hata hivyo, mbunge huyo ambaye amejipatia umarufu siku za hivi karibuni, na kuoneakana kupendwa na vijana wengi nchini humo, amesema serikali inahofia ushawishi wake hasa kwa vijana.
Bobi Wine, ambaye jina lake kamili ni Robert Kyagulanyi anakabiliwa na mashtaka ya uhaini kutokana na kupigwa mawe msafara wa Rais Yoweri Meseveni wakati wa kampeni ya uchaguzi mdogo.
Bobi Wine alitarajia kutumia tamasha hilo kuzindua album yake mpya inyofahamika kama Kyarenga