- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
NEWS: BIMA YA OBAMA CARE YAPINGWA NA MAHAKAMA MAREKANI
Jaji wa jimbo la Texas nchini Marekani amesema kuwa baadhi ya vipengele vya sheria katika bima ya afya maarufu kama Obamacare, vinakiuka katiba ya nchi hiyo.
Huku Majimbo zaidi ya 25 yalihoji kuwa mwongozo wa sheria za bima hiyo umepitwa na wakati baada ya mswada wa ushuru kuidhinishwa kuwa sheria mwaka jana.
Sheria hiyo mpya iliondoa faini dhibi watu ambao hawajajisajili kwa mpango huo wa afya.
Rais wa Marekani Donald Trump amesema uamuzi huo ni habari njema kwa Wamare
Pia alitoa wito kwa kwa kiongozi wa chache katika bunge la seneti Chuck Schumer na spika wa bunge Nancy Pelosi "Kupitisha sheria madhubuti ambayo itasimamia huduma bora ya afya".
Wakati wa kampeini yake ya Urais Trump aliahidi kufutilia mbali mpango huo wa Afya uliyobuniwa na mtangulizi Obama mwaka 2010, ili kuwapatia raia wa nchi hiyo bima ya afya ya gharama nafuu.
Licha ya chama cha Republican kuwa na wabunge wengi katika mabunge yote mawili imeshindwa kufutilia mbali Obamacare.