November 30, 2024, 8:27 am
- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
NEWS: BANK KUU YAKANUSHA TAARIFA YA KUONGEZEKA KWA DENI LA TAIFA
Dar es salaam: Bank kuu ya Tanzania BOT imekanusha vikali taarifa ya kuongezeka kwa deni la taifa kwa Tsh Trilioni 12 na badala yake imesema kuwa deni halali la taifa lililoongezeka kwa mwaka 2017/2018 ni Tsh Trilioni 2, kutoka trilioni 47 mpaka trilioni 49.
Taarifa ya kuongezeka kwa deni hilo la taifa ilitolewa na gazeti la Mwananchi toleo namba 6499
Newest Posts