- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
NEWS: ALICHOKIONGEA MODEWJI BAADA YA KUPATIKANA
Dar es Salaam: Mfanyabiashara maarufu nchini Tanzania, Mohammed Dewji 'Mo' amesema kuwa anamshukuru Mungu kwa kumrejesha salama kutoka kwa hao waliomteka. Huku kimuonekano akionekana ameathirika kisaikologia.
Mo aliyepatikana alfajiri ya leo Jumamosi Oktoba 20, 2018 amesema hayo mbele ya Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Simon Sirro baada ya Kumpata .
"Namshukuru mwenyezi Mungu nimerudi salama nyumbani. Nawashukuru Watanzania wenzangu na watu wote kote duniani kwa dua na sala zao."
"Nashukuru mamlaka zote, ikiwemo jeshi la polisi, zilizofanya kazi ya kuhakikisha narudi salama," amesema Modewji.
Leo mapema alfajiri Familia ya Modewji imedhibitisha kupatikana kwake kupitia Azizi Dewji amesema afya ya ‘Mo’ aliyetekwa alfajiri ya Alhamisi wiki iliyopita Oktoba 11,2018 jijini DSM, Tanzania ‘ni nzuri asilimia 100’ sema labda sababu alitekwa inaweza kuwa tatizo kisaikolojia.
Azzim amesema,”Amepatikana mida ya saa 8.30 usiku, walimuacha halafu yeye (Mo) akapiga simu kwa baba yake