- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
NEWS: AJALI YA BASI YAUAWA WATU 36.
Wizara ya afya ilisema kwa manusura sita hadi saa wameondolewa kutoka kwa mabaki ya basi hilo na kupelekwa hospitalini.
Ajali hiyo ilitokea katika eneo linalofahamika kwa ajali nyingi linalofahamika pia kama (kona ya shetani) eneo la Pasamayo kaskazini mwa mji mkuu Lima.
Afisa mmoja alisema kuwa basi hilo lilikuwa limebeba takriban watu 50.
Babarara hiyo iliyo kando mwa habari ya Pacific inatajwa kuwa moja ya zile hatari zaidi nchini Peru.
Rais wa Peru Pedro Pablo Kuczynski, alisma kuwa ni jambo la kusikitisha na uchungu mwingi ikiwa nchi itakumbwa na ajali kama hiyo.
Alitumia ujumbe wa rambi rambi kwa familia za waathiriwa.
Picha kutoka eneo hilo zilionyesha waokoaji wakizunguka mabaki ya basi hilo huku watu wakitazama kutoka juu.