Home | Terms & Conditions | Help

November 28, 2024, 2:43 pm

NEWS: ABURUZWA MAHAKAMANI KWA KUMUUA MWAMAFUNZI WAKE

Kilimanjaro: Mmiliki wa Shule ya sekondari Scolastica Bw. Edward Shayo iliypo wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro na wengine wawili wamefikishwa mahakamani tayari kwa kusomewa mashtaka ya mauaji ya mwanafunzi Humphrey Makundi


Eneo ulipo okotwa mwili wa marehemu

Mwanafunzi huyo alitoweka shuleni hapo katika mazingira ya kutatanisha mnamo Novemba 6 mwaka huu na baadaye mwili wake ukaokotwa Mto Ghona, umbali kidogo wa mita 300 kutoka shuleni hapo.

shule ya sekondari Scolastica