- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
BURUDANI: WOLPER ACHUKIZWA NA U-TEAM UNAVYO MUHARIBIA MAISHA YAKE
Dar es salaam: Muingizaji maarufu wa Bongo move Jacqueline Wolper amesema anachukizwa na tabia ya mitandaoni ya watu kumlazimisha kuchukia watu fulani eti kwa sababu tu amejaribu kumsapoti au kumpost mtu fulani kwa sababu ya ushabiki au U-team, akiandika kwenye ukurasa wake wa instagram Wolper amesema kuwa maisha anayoyaona mtandoni yamekuwa kama yanajenga uchochozi
''Mtu unakuta labda yeye ni Team fulani basi kwasababu yeye anampenda huyo mtu ambae anamshabikia anadhani njia ya kumfurahisha huyo anaemshabikia ni kuwachukia wasanii wenzake jmn Mbona sisi sio wazalendo km ilivyo Tanzania??Mbona sisi hatupendani km ilivyo Tanzania?? alihoji WolperWolper amesema kuwa wapo watu wanaweza kukushambulia bila sababu ya msingi kwenye mtandao ''Yaani mtu anakuchukia bila sababu zisizoeleweka mtu hakujui,wengine hata hamjawai kutuona lkn mnavyoshambulia watu kwenye mitandao utafikiri mmetuzaa jmn kha tuoneane huruma!inafikia wkt mtu unaanza kumchukia msanii mwenzio km vile mnaugomvi au ndo unakuta huwezi kuongea na msanii fulani kwasababu tu flani na flani hawaongei!Kwahiyo unaona ukiongea nae au kumpost utamdisappoint mwingine wkt huo huo wachochezi wakina nani ndo hao wa mitandao!ukimpost flani ww Wolper mnafki ndo mana hivi mara vile alfu yule mwenye uadui na nilie mpost anaanza kuchukulia vitu serious vya mtandao na kuweka chuki looooh sasa jmn maisha gani tunaishi???
''Yaaaani ww kugombana na mtu fulani basi mm nae nichukulie serious kiasi kwamba nisiongee na usioongea nao heee hayo ni maisha magum sn hasa kwangu Wolper!Nitaacha kuongea na mtu kwasababu zangu mm na yeye zitakazotuhusu lkn habari za watu aisee siwezi kwanza nishabikie hivyo kisa nn si uchawi huo..watu wakigombana usijitie kimbelembele cha kuwa upande huu au ule kwanza na kwann umridhishe mtu kwa kuinyima nafsi yako?huko nikutokujielewa na kutokuwa na UTU...Sasa kwa mfano mm nijuane na ww alfu ww ugombane na watu labda km 10 afu na mm nisiongee nao kumi kweeli how come!?''Pia Wolper ameonesha kukasirishwa njisi watu wanavyo mkosoa juu ya pengo lake na kusema kuwa hakuna star ambaye kajiumba ''Nikicheka mpk pengo likionekana basi mm ntazungushiwa kiduara ooo mara star ana pengo msyeeeu Star kajiumba?Sote tumeumbwa na ndo maana hakuna star aliewahi kupaa wkt wa kufa wote tunazikwa,Nisikosee kupaka wanja mshanizungusha sasa hivyo si vitu vya kawaida tu!lkn mitandao ikiweka uchochezi mtu mnamchukulia km kauwa vile mweh,Kuna vitu vya kuongea na vyenye maana na vinaeleweka lkn sio kwa kunizungushia duara vitu km pengo langu au chochote cha kijinga...''