November 27, 2024, 4:02 pm
- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
BURUDANI : SIJUI NITAKUWAJE NIKIZEEKA -SANCHOKA
Video Queen ambaye mara nyingi anapenda kuacha wazi sehemu kubwa ya mwili, Jane Rimoy ‘Sanchi’ amesema kuwa anajutia akifikisha umri wa miaka 50 hajui maisha yake yatakuwaje.
Sanchi aliiambia Star Mix kuwa, mara nyingi watu wanaposti vitu mitandaoni, lakini wanasahau kuna uzee mbeleni hivyo vitu hivyo vitakuja kuleta shida hata kwa wajukuu.
“Unajua hata mimi naweka picha mbalimbali, lakini kila nikikumbuka kuna uzee, ninaishiwa pozi kwa sababu watu wengi wanajisahau kuwa kuna kuzeeka, lakini kiukweli mimi uzee unanikosesha amani kabisa,” alisema Sanchi