Home | Terms & Conditions | Help

November 30, 2024, 10:27 am

BURUDANI : SHILOLE ATANGAZA UJIO WA KITABU CHAKE CHA HISTORIA YA MAPENZI

Akiwa kama moja wa wasanii wapambanaji sana, mwanadada shiloleh ametangaza kuja na kitabu chake akishirikiana na mwandishi mmoja kitakachokuwa kikizungumzia histori yake ya mapenzi.

Shiloleh amekuwa ni moja wa wanawake na wasanii wachach wenye uharaka wa kuthubutu kila inapotokea

Picha inayohusiana

"hey guys kwa muda mrefu sasa nimekuwa nikianda kitabu changu na mwandishi chipukizi ni romantic novel ambayo inavutia kwa wapenzi wa vitabu vya love story kama fans wangu naomba mkae mkao wa kula kupakuwa kitabu hiki, kitazinduliwa baada ya mwezi mtukufu kuisha.are you guys excited as i am?get ready for heart broken,"aliandika Shilole

Shiloleh Kuja na Kitabu cha Stori ya Mapenzi