November 25, 2024, 6:03 pm
- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
WAZIRI MKUU AWEKA JIWE LA MSINGI KITUO CHA KUPOZEA UMEME KANDA YA KATI
Waziri Mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa, leo Jumamosi Octoba 5, 2019 ameweka jiwe la msingi, katika kituo cha kupozea umeme 400/220/33kV, Shinyanga, Singida Dodoma na Iringa awamu ya pili, eneo Misuna, katika Wilaya ya Singida.
Waziri Majaliwa ameweka jiwe hilo sambamba na Meneja Mradi wa kituo hicho Peter Kigadye