November 26, 2024, 5:46 am
- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
UTAFITI: UMUHIMU WA ELIMU YA NYOTA
Leo nimeamua kuandaa hii article. Its abt HOROSCOPE, waswahili huita utabiri wa nyota.
Kabla, sikuwai kufikiri wala kuwaza kusoma hizi habari za utabiri wa nyota. Nilidhani ni mambo ya uswahili tuu, sababu siamin katka utabiri usio na element za kidini.
Siku moja ilipita page FB kwa ukurasa wng, ukitangaza hiz daily HOROSCOPE sites. Ikabid nsome comments kwanza, nlichogundua watu wengi wanafatilia ingawa wengine wali-coment negative abt horoscope. Baadhi wakataja wao ni LEO, AQUARIOUS,SCOPION etc. Nlipotoka hapo nikaanza utafit wangu juu ya hii kupitia google, wikipedea na net search nyingine nyingine.
** matokeo ya tafiit binafsi
** mtizamo wangu
NYOTA ni halisi na most of informations ni kweli, nahisi baada ya Mungu kumuumba mwananadamu alielekeza tabia, karama na vitu vingine katika miez 12 ya mwaka. Kwa hivyo kila mtoto anapozaliwa anabeba uwezo/tabia za mwez husika alozaliwa. Kwa maana hiyo hiz tabir za nyota ni manual/mwongozo wa tabia, mwenendo na uwezo wa mzaliwa.
** umuhimu wa ufahamu huu
Kwanza kujitambua
Kabla sijasoma hii manual kuhusu me, sikua najua naweza kufanya nin kwa ukamilifu, how far can i go ( I didn know wat am capable of). Na kama hujui/hujijui ni rahis kukata tamaa ama kukatishwa tamaa ktk kuyafikia malengo yako. Kujua nin unataka, uwezo wako ni upi katika kukamilisha ndoto zako ni muhim sana.
Binafsi nmejifunza kuhusu me na naendelea kujifunza kuhusu me na naendelea kuutafuta upekee nlonao. Inanijenga sana na nna ejoy kua me siku hadi siku. I know wat i can do and wat not to do, for the best future.
> > > Unaeza kujua yafuatayo kuhusu wewe.
* tabia zako
* namna ya ku- handle relationships zako( kulingana na ulivyo)
* recomended jobs for u( wat job unaeza kufanya kwa ukamilifu)
* nan unamuhitaji kwa suport to success n.k
So nendeni msome hizi vitu msizipuuze, jielewe vyema ila usijihusishe na utabiri wa ushirikina/ uganga sio kusudio la Mungu, hakuna anae kujua zaid kuliko Mungu. Nyota haisafishwi na maelezo hayabadiliki, ile ni muongozo wa namna ya utendaji kazi zako kuelekea mafanikio. So, jitambue wewe ni nani kwanza, fanya kazi kwa bidii, sali sana utafanikiwa sana.