- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
UTAFITI: HIZI HAPA SIFA ZA WANAWAKE WEMBAMBA
Imebainishwa kuwa WANAWAKE wengi wembamba ni watalamu wa mapenzi kuzidi wanawake wanene, hii inatokana na tafiti mbalimbali zilizofanya na watalamu wa masuala ya mapenzi kama wakina Leticia Jackson wa US, Prof. Benjamin James wa Ufaransa, Dr. Edward Huloww wa Uingereza, hawa watalamu katika tafiti zao walizofanya katika nchi mbalimbali zinaonyesha kuwa asilimia 85% ya wanawake wembamba wanajua staili nyingi za TENDO LA NDOA wakati wa chakula cha usiku, na asilimia 15% ya wanawake wanene ndio wanaojua kula vizuri chakula cha usiku.
Na sababu inayofanya wanawake wembamba kuwa wataalamu sana katika chakula cha usiku ni kutoka na wepesi walionao.Hivyo anaweza kujikunja na kukaa mkao wowote ambao huleta raha na mamnjonjo katika mapenzi.Japo sio kila mwanamke anaweza kufanya hivyo katika mapenzi wengine wataki hata kutoa ushikiano katika mapenzi .
Hiyo ni tabia tu ya mtu si mnene wala mwembamba.Basi kama mpenzi wako anafanya hivyo na huipendi hiyo tabia ni bora umwambie au umfundishe sababu sio kila mtu anajuwa kilakitu Japo kuwa kila mwanaume ana uchaguzi wake ila uchaguzi wako isiwe sababu ya kuwanyanyapaa wanawake ambao sio chaguo lako.kama wewe unapenda wembamba usinyanyapae wanene na kama unapenda wanene usiwanyapae wembamba.