- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
UTAFITI: HIZI HAPA SABABU ZA NDOA NYINGI KUWA KWENYE MIGOGORO
Ndoa katika jamii za kikristo zilikusudiwa kudumu na kuwa mfano wa kuigwa na ndoa za watu wengine katika jamii. Lakini cha kushangaza ndoa nyingi leo za kikristo zinavunjika kwa kasi ya kushtusha. Hii inashtusha na kushangaza kwa sababu sisi kama wakristo tumeacha kutembea katika mpango kamili wa Mungu. Kwanini hali hii inatokea? Kuna sababu nyingi kwanini ndoa zinakuwa na migogoro isiyoisha na ningine kutawanyika. Kuna sababu ndogo ndogo na zingine ni kubwa na za msingi.Zifuatazo ni baadhi ya Sababu Kwanini Ndoa nyingi siku za leo zimejaa Migogoro, Marumbano na Kuvunjika vunjika.
USIOE AU KUOLEWA KWASABABU YA KUMSAIDIA MTU FULANI AU KUMUONEA HURUMA.Kumbuka kwamba, kuwa na jitihada za kukubaliana sio kubadilika, sababu suala ndoa halina haja ya kuweka mabadiliko kwa mtu yeyote.
• Ukitaka kumbadilisha mwenzi wako usisubiri kwenda kumbadilishia ndani fanya hayo mabadiliko kabla ya kuingia ndani.