- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
UTAFITI: HIZI HAPA SABABU ZA MAMA NA BABA KUBEMENDA MTOTO
Unaweza kunipa maana halisi ya neno Kubemenda?
Nijuavyo mimi au nisema kama nilivyokuwa nikisikia, kubembenda mtoto ni kitendo cha baba na mama wa mtoto huyo kufanya mapenzi/ngono na watu tofauti kabla mtoto hajakua vya kutosha au hajatoka Arobaini.
Inasemekama ktk kipindi hicho mama akifanya mapenzi basi mtoto anapata matatizo kiafya.
Matatizo yenyewe hujitokeza mtoto anapofikia umri wa kuanz akuropoka maneno, kutembea, kujaribu kusimama n.k. kwa kawaida ni kati ya miezi 6 na nane kwa watoto wengi lakini wengine huwahi au kuchelewa zaidi.
Matatizo hayo ambayo kama vile kuchelewa kufanya/anza hatu ahizo za mwanzo za ukuaji wake, mtoto anakuwa kama vile anautindio wa akili, anatokwa na udenda ovyo....yaani anakuwa mlemavu.