- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
SPORTS: UEFA NA LIGI KUU UINGEREZA ZAHAIRISHWA KUTOKANA NA CORONA
Mechi za Ligi kuu ya soka ya nchini Uingereza ( EPL) zimeahirishwa hadi tarehe 3 Aprili kama hali itakuwa sawa, kufuatia kasi ya kuenea kwa Virusi vya Corona na baadhi ya wachezaji wa ligi hiyo kupatikana na maambukizi ya virusi hivyo.
Mashindano yote Ligi ya soka ya Ulaya, mkiwemo Championi Ligi na Ligi ya Ulaya, mechi ambazo zilitarajiwa kuchezwa wiki ijayo, zimeahirishwa kutokana na mlipuko wa coronavirus.
Droo kwa ajili ya raundi ijayo, iliyopangwa kufanyika tarehe 20 Machi, pia imeahirishwa.
Katika Championi Ligi, mechi kati ya Manchester City dhidi ya Real Madrid, Juventus dhidi ya Lyon, Barcelona dhidi ya Napoli na Bayern Munich dhidi ya Chelsea zote zimeahirishwa.
Mechi za Manchester United, Wolves na Rangers katika Ligi ya Ulaya pia zimefutwa.
Mechi zote za robo fainali ya Ligi ya Ulaya ya vijana zilizokuwa zimepangwa kuchezwa tarehe 17 na 18 Machi pia zimesitishwa.
Uefa imesema kuwa maamuzi saidi kuhusu mpangilio wa kuahirisha mechi hizo "yatatolewa baadae".
Bodi ya Soka ya Ulaya imewaalika wawakili wa wajumbe wa mashirikisho yote 55 kwa mkutano siku ya JUmanne ili kujadili mkakati wa kukabiliana na mlipuko wa coronavirus.
Mechi za Manchester United, Wolves na Rangers katika Ligi ya Ulaya pia zimefutwa.
Mechi zote za robo fainali ya Ligi ya Ulaya ya vijana zilizokuwa zimepangwa kuchezwa tarehe 17 na18 Machi pia zimesitishwa.