- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
SPORTS: SENEGAL YATINGA NUSU YA FAINALI YA KWANZA TANGU MWAKA 2006
Timu ya Taifa ya Senegal imefuzu hatua ya nusu fainali ya Kombe la Mataifa ya Afrika kwa mara ya kwanza tangu 2006, baada ya kuiadhibu Benin 1 - 0 jana Julai 10 jijini Cairo, nchini Misri.
Ni kizazi kipya ambacho kimefanya Senegal kupiga hatua kubwa katika michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika. Tunataka kuwea historia kwa nchi yetu. Henri Saivet, kiungo wa kati wa Simba, amesema, huku akiwa na imani ya kuendelea hadi mchuano wa mwisho wa fainali. Hata hivyo amepongeza timu yake na ushindi walioupata licha ya kuwa haikuwa rahisi dhidi ya timu ya taifa ya Benin.
"Tangu kuanza kwa michuano hii ya AFCON 2019, hakuna mechi ambayo ni rahisi, amesema Henri Saivet.
“Tumekutana na timu ambao haikuwa rahisi kuifunga. Katika hatua ya makundi, hatukupoteza dhidi ya Cameroon na Ghana. Kisha tuliweza kuwaondoa Morocco katika mzunguko wa 16. Katika mchuano wetu na Benin, tulijua kwamba itachukua muda kuwaangsha. Lakini hatukuwa na hofu. Tulijua nini cha kufanya. Bodi ya usimamizi walifanya kazi kubwa ili tuweze kuwaangusha Benin pamoja na kuwa haikuwa rahisi, " ameongeza Henri Saivet, kiungo wa kati wa timu ya taifa ya Senegal.