November 25, 2024, 2:26 pm
- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
SPORT NEWS: NYOSO ATINGA DAR
DAR ES SALAAM: Timu ya Kagera Sugar ya Bukoba imeanza mazoezi yake ya kujianda katika msimu mpya 2017/2018 wa Ligi Kuu Tanzania Bara, inayotarajiwa kuanza Agosti 26, mwaka huu katika uwanja wa Karume ikiwa ni kambi yake ya awali kufanyika Jijini Dar es Salaam.
"Tumeanza mazoezi leo hapa Dar es salaam, tutakuwa hapa kwa majuma mawili na baada ya hapo tutarejea kwenye kambi yetu ya kudumu mkoani Kagera lengo la kuanzia kambi hapa Dar es Salaam nikupata michezo mingi ya kirafiki kabla ya kuanza kwa ligi kuu ambapo tutanzia nyumbani Kaitaba dhidi ya mbao ya Mwanza ", amesema Hussen.
Pamoja na hayo, timu ya Kagera Sugar imetua Jijini Dar es Salaam ikiwa na wachezaji wote wapya sita, wakiongozwa na beki maarufu wa zamani wa Simba, Juma Said Nyosso, ambaye amerejea kwenye soka baada ya kumaliza adhabu ya kufungiwa miaka miwili baada ya kufanya kitendo cha utovu wa nidhamu uwanjani ambapo kwa sasa ndiye mchezaji aliyeweza kuweka rekodi ya kufungiwa muda mrefu kujihusisha na soka nchini Tanzania. Kwa upande mwingine, wachezaji wengine waliosajiliwa Kagera Sugar ni pamoja na Said Kipao, Peter Mwalyanzi, Omary Daga ‘Dagashenko’, Venance Ludovic pamoja na Japhary Kibaya.
Akizungumza na wanahabari mratibu wa timu hiyo Mohamed Hussen amesema lengo la kuweka kambi Jijini Dar es Salaam nikuweza kupata mechi nyingi za kirafiki ili waweze kujijenga zaidi.