Home | Terms & Conditions | Help

November 26, 2024, 11:44 am

SIASA : UCHAGUZI WA KENYA KURUDIWA UPYA

Jaji Mkuu wa Kenya David Maraga ameagiza Uchaguzi Mkuu urudiwe ndani ya siku 60, matokeo ya uchaguzi wa Agosti 8 ni batili,ni kufuatiwa Mahakama nchini Kenya kubatilisha Ushindi wa Rais Uhuru Kenyatta! Yabainisha uchaguzi uligubikwa na kasoro