November 26, 2024, 2:29 am
- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
SEREKALI YAKAMATA MABASI YA NBS NA DAR LUX KUTAKA KUSABABISHA AJALI
Naibu Katibu Mkuu, wizara ya mambo ya ndani Ramadhan KAILIMA ametoa onyo kali kwa madereva wa mabasi ya NBS na Dar Lux na kuwataka kufuata sheria za usalama barabarani.
Kailima ametoa kauli hiyo mara baada ya kuyakamata mabasi hayo yaliyotaka kusababisha ajali leo Alhamisi Agosti 15, 2019 katika eneo la Ihumwa jijini Dodoma.
Pia Kailima amewataka abiria kuwa mstari wa mbele kuzuia ajali za mabasi kwa kutoa taarifa kwa dereva au basi lenye mwendo usio na mwelekeo.