Home | Terms & Conditions | Help

November 26, 2024, 9:53 am

PICHA +15 : SHUGHULI NZIMA YA KUAGWA KWA WAFANYAKAZI WA AZAM TV

Jana July 8 Tasnia ya habari nchini Tanzania ilikubwa na msiba mzito mara baada ya kutokea kwa ajali ya gari iliyotokea singida iliohusisha gari la shirika la habari la Azam Media na lori ambapo katika ajali hiyo watu saba walifariki dunia papo hapo na wengine 3 walijeruhiwa katika hao saba waliofariki watano ni wafanyakazi wa Azam Media.

Leo kunafanyika shughuli ya kuagwa kwa miili hiyo ambapo mwili wa mfanyakazi mmoja Salim Mhando utazikwa leo.

Hii ndio Miili ya wapendwa wetu wafanyakazi wa ikiwa tayari kuondoka kutoka Hospitali ya Taifa Muhimbili kuelekea ofisi za Azam Media Tabata kwa ajili ya kutolewa heshima ya mwisho.

huyu ni Mmiliki na Mwenyekiti wa makampuni ya Bakhresa group Ltd, Said Salim Bakhresa akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kwenye shughuli ya kuwaaga wafanyakazi watano wa Media waliofariki katika ajali ya gari mkoani Singida jana Jumatatu.

Katibu mkuu wa TFF () Wilfred Kidao Hapa akisaini kitabu cha kumbukumbu katika msiba wa wafanyakazi watano wa

Baadhi ya wanahabari wa mitandaoni tukiwemo na sisi hapa tukiendelea na kazi ya kuhabarisha kinachoendelea kutokea hapa Azam Media, Tabata.

Mkurugenzi Mtendaji wa Regina Mengi akisaini kitabu cha maombolezo cha Azam Media kufuatiwa kufiwa na wafanyakazi wake watano kwenye ajali ya gari huko mkoani Singida.

Mmoja wa wakurugenzi wa Bakhresa Group, Abubakar Bakhresa (kushoto) akiteta jambo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais – Muungano na Mazingira, (Kulia) na katikati ni Kiongozi wa Zitto Kabwe