- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
NEWS: ZAIDI YA ABIRIA 150 WAMEPOTEZA MAISHA BAADA YA AJALI YA DEGE ETHIOPIA
Adis Ababa: Taarifa kutoka nchini Ethiopia zinaripoti kuwa watu zaidi ya 150 wanahofia kupoteza maisha baada ya Ndege ya kampuni ya Ethiopia aina ya Boeing 737 iliyokuwa ikisafiri kutoka Adis Ababa kuelekea Nairobi imeanguka Jumapili ya leo asubuhi.
Kupitia kwenye Mtandao wake wa twitter Waziri Mkuu wa Ethiopia Abey Ahmed ametoa taarifa akitoa rambi rambi kwa familia za walio wapoteza wapendwa wao katika jali hiyo, baadaye kidogo pia Rais wa Kenyatta Uhuru Kenyatta nae ametoa Rambi Rambi zake kuonesha kusikitishwa kwa Ajali hiyo ''We are saddened by the news of an Ethiopian Airlines passenger aircraft that is reported to have crashed 6 minutes after takeoff en route to Kenya. My prayers go to all the families and associates of those on board." aliandika Rais Kenyatta
Chanzo cha ajali hiyo bado hajifahamika mara moja, maafisi wa Idara ya Anga nchini Humo wamesema wameanza kufanya Uchunguzi dhidi ya Ajali hiyo.